Chagua Kifurushi Chako

Siuze tu uhifadhi (storage), bali nakupa usimamizi kamili (Full Management). Wewe fanya biashara, mimi nitasimamia ufundi wote wa website yako.

Starter Management
Tsh 6,666/ mwezi

Mwaka 1: Tsh 80,000

  • Usimamizi wa Hadi Websites 2
  • Usimamizi Kamili (Full Management)
  • SSL Certificate & Ulinzi Bure
  • Matengenezo Madogo Madogo (Updates)
  • Kurekebisha Makosa (Bug Fixes)
  • Kuweka bidhaa/makala mpya kila mara
Chagua Kifurushi
Custom Systems
Maelewano

Kuanzia Tsh 30,000 / mwezi
Inategemea ukubwa wa mfumo

  • Mifumo Mikubwa & Web Apps
  • API Management & Integrations
  • Custom Server Configurations
  • Dedicated Cloud Resources
  • Automated Deployments (CI/CD)
  • Usalama wa Hali ya Juu & Ufuatiliaji
Omba Nukuu

Vipengele vya Server Zetu

Uharaka & Kasi

Server zetu zinatumia teknolojia ya kisasa ya cloud performance, ikihakikisha website yako inapakia kurasa zake chini ya sekunde 1.5.

99.9% Uptime

Mifumo yetu inasimamiwa kwa karibu kuhakikisha website yako inapatikana wakati wote bila kukatika au kuwa nzito.

Ulinzi & Salama

Tunakuhakikishia usalama wa data zako na za wateja wako kwa kutumia mifumo thabiti ya ulinzi na firewalls za kisasa zaidi.

Chat nasi WhatsApp