Django PostgreSQL Web App

Vyuo Tanzania (vyuotanzania.nyisu.com)

Mfumo thabiti na wa kisasa wa kutafuta, kulinganisha na kuchagua vyuo mbalimbali vya elimu ya juu nchini Tanzania.

Python MySQL Family Tree

Mfumo wa Ukoo wa Nyahende (nyahende.nyisu.com)

Mfumo maalum wa kidijitali wa kutunza kumbukumbu, historia ya ukoo, mti wa familia (family tree), na mawasiliano ya ukoo wa Nyahende.

JavaScript HTML5 / CSS3 Decision Support

SlipGen.pro - Bet Generator

Mfumo wa kisasa wa kusaidia kuchanganua, kupanga na kuzalisha mikeka ya ushindi ya betting (betting slips) kwa urahisi kwa kutumia algorithms za maamuzi.

Flutter Firebase Mobile App

App ya Biashara ya Mtandaoni (E-Commerce App)

Application ya simu ya mkononi inayoruhusu wateja kununua na kulipia bidhaa kupitia huduma za pesa za mkononi (M-Pesa, Tigopesa, Airtel Money).

Figma UI/UX Design Prototyping

Muonekano wa App ya Kilimo (AgriTech UI/UX)

Ubunifu wa kiolesura (UI/UX) kwa ajili ya mifumo ya kusaidia wakulima kupata habari za hali ya hewa na soko la mazao.

Chat nasi WhatsApp